Tengenezakadi ya elektroniki
TafutaKadi za e-tayari
MatamanioMatamanio

Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha

Ads
Tengeneza kama hii
Tuma kadi
Andika maudhui
Mwaliko WA harusi
Familia ya Mch. SULEMANI NZYEMBA wa SEGERA TUKUYU inayo furaha kukujulisha/kuwajulisha
Ndugu/
JUDITH CHARLES
.............................................
kuwa kijana wao mpendwa GWAKISA NZYEMBA
anatarajia kufunga ndoa na CHRISTINA SHAGAMA Tarehe 20/09/2025 Katika kanisa la Moraviani ushirika wa SEGERA TUKUYU MBEYA
Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki wa karibu na familia hii unaombwa mchango wako Kiasi chochote unacho guswa kuchangia ili kufanikisha shughuli hii muhimu.Tutashukuru iwapo mchango wako
utatufikia kabla ya tarehe 10/09/2025 kupitia
Lipa namba
VODA LIPA 5779901 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
TIGO LIPA 16944086 CHRISTINA ALLEN SHAGAMA
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa kukubali kushiliki nasi katika tukio hili la baraka kwaajili ya familia yetu
Mungu akubariki Sana.

Mawasiliano : Gwakisa Nzyemba 0764923444
Christina Shagama 0767309375
Kadi za Elektroniki Zinazofanana
Takwimu Imeundwa leo: 0 Iliundwa jana: 0 Imeundwa katika siku 7: 2 Imeundwa katika siku 30: 2 Kadi zote za elektroniki: 2
Copyright by CreateGreetingCards.eu

([BRAK USTAWIENIA TRESC:sw stworz_kartke inspiracje])